ki kweli napenda uwe na furaha.. ctak kukuumiza na wala cpend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu.. nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe..
ukiwa nami kwa sasa utaumia tu,.nipo busy sana cna nafasi ya kukupet pet.. plsss. kama wanipenda kwa dhat nisubiri tafadhali