Nami nasuburi hadi part two ije...
mmmh! mambo?
ki kweli napenda uwe na
furaha.. ctak kukuumiza na wala cpend ukasirike. Tafadhali nisubiri
nimalize shughuli zangu.. nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari
kuwa na wewe..
ukiwa nami kwa sasa utaumia tu,.nipo busy sana cna nafasi ya kukupet
pet.. plsss. kama wanipenda kwa dhat nisubiri tafadhali
hebu ungana nami kusubiri labda baada ya hiyo miaka miwili tutaelewaMi hata Cjamuelewa cjui we mwenzangu umemuelewa