Tafadhali Nisaidie Ku-unlock iPhone

hiyo serial no yako hiyo inanipa mashaka kidogo...anyway, weka firmware yako hapa.niandikie hizo number nitajua kama it's possible or impossible...
 
Ni iphone 4, version yake ni 5.0.1,baseband yake(Moderm firmware) 04.11.08,model MC319LL, na kama details hazijitoshelezi naombeni mnistue niongeze zingine
 
kwa modem firmware 04.11.08,
pole kaka,
itabidi usubiry uNLock yake bado haijatoka mpaka leo,
iPhone 4 zinazoUNLOCKIKA mwisho baseband 04.10.01 mpaka sasa...
 
Model: Md239b
version: 5.1.1(9b206)
serial no.: Dnvhnqdsdtd2
Moderm firmware: 04.11.08
pole sana mkuu, ili kuUnlock baseband 04.11.08 inabidi kuifanya Factory Unlock.. ingekuwa ni baseband 02.10.4, 03.10.01 na 04.10.01 ungeweza kutumia Gevey Sim, na baseband 01.59 ungeweza kuUnlock kwa kuJailbreak lakini baseband 04.11.08 lazima uifanye Factory Unlock ambayo inagharimu 50,000/= au zaidi inategemea na kampuni iliyo ilock!!
Jaribu kuwasiliana na huyu Jamaa, huwa anapata Gevey Sim mpya zinazoSupport baseband mpya....

CiSH Phones

Mosque Street.
Contacts-
0715101001
, BB Pin
297052D4
(jina Rizwan Remtulla) Dar es Salaam.
 
pole sana mkuu, ili kuUnlock baseband 04.11.08 inabidi kuifanya Factory Unlock.. ingekuwa ni baseband 02.10.4, 03.10.01 na 04.10.01 ungeweza kutumia Gevey Sim, na baseband 01.59 ungeweza kuUnlock kwa kuJailbreak lakini baseband 04.11.08 lazima uifanye Factory Unlock ambayo inagharimu 150,000/= au zaidi!!
Jaribu kuwasiliana na huyu Jamaa, huwa anapata Gevey Sim mpya zinazoSupport baseband mpya....

CiSH Phones

Mosque Street.
Contacts-
0715101001
, BB Pin
297052D4
(jina Rizwan Remtulla) Dar es Salaam.

Nashukuru sana, mkuu! Ngoja nifuatilie ulivyonielekeza.
 
Tafadhalini nisaidieni na mimi jamani jinsi ya kui unlock simu yangu aina ya DELL ili itumie mitandao ya huku Tz.
 
Mkuu hiyo iPhone kama ni from T mobile Germany you can unlock free of charge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom