Tafadhali nipeni elimu wanaJ, yamenikuta

Tafadhali nipeni elimu wanaJ, yamenikuta

Mkuu Bichwa lako Lina ukubwa Gani wa RAM inawezekana hata GB Bichwani mwako ni ndogo Sana ishu ya Sms tu unakuja kulia humu jukwaani...? Watu tunahangaika kutoa ushauri kwa watu waliomegewa sio kwa upuuzi Kama wa kwako huo wakujitafutia Mwenyewe. Zama hizi Simu hazichunguzwi kiboya hivo Pimbi wewe Bomu la Machozi umelifukua Mwenyewe pambana nalo hukohuko.
Utakuwa umemegewa jana wewe ndio maana una hasira,sio mimi niliyekumegea hizo hasira zako hukohuko kwa aliyekumegea.
 
Unashika simu ya mkeo? Utakuja kuombwa maku upate presha ujifie.

Kwa ustawi wa afya yako kaa mbali na simu ya mkeo,unachokitafuta utakipata na kitakupa kisukari
Hakuna nilipoandika mke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom