Tafadhali ninaomba msaada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali ninaomba msaada!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Elai, Dec 13, 2011.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila ninapowasha komputer,inapo-boot antivirus inaniletea ujumbe wenye options zifuatazo:-open in sandbox,open nomally,cancel. Nilipofuatilia file husika ni; C:Windows/system32/Wusa32.exe. Kwa hiyo ni kitu gani na nifanye nini?
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  kutokana na maelezo yako inaelekea wewe unatumia avast antivirus. Usiogope sana kijana, hiyo ni defense system ambayo husaidia kuiprotect computer yako isiwe harmed na potential unwanted program-PUP. Kwa hiyo yenyewe ikidetect kuwa kuna program ambayo unaifungua lakini inahisi kuwa italeta madhara katika computer yako basi itakupa option kama hiyo either to open it in sandbox or normally. So there is nothing to worry about.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  • Google wusa32.exe.
  • kiwezeana lifute au kuw asafe zaidi isufte vya maana liweke kwenye chest ya antivistu kabla ya udelete then restatart mashine mashine uone . Liache kwenye cest wiki nzima kama mshine haitasumbua kitu basi ujue ni kirusi
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  good idea!!!
   
 5. E

  Elai Senior Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninashukuru kwa michango, ninaifanyia kazi.
   
Loading...