Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,689
- 42,540
Nunua jingine tu
Hapana arudishe siku nyengine atazoea nataka Tu nimfunze tabiaNunua jingine tu
HajaolewaHapana arudishe siku nyengine atazoea nataka Tu nimfunze tabia
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
@Leejay49 kumbe na wewe ndio tabia yakoNinune Tena jamani, wakati umenifungua macho na masikio
Huyu kidume si Bora angekuwa wakike ningemuacha tuHajaolewa
Of course sio tabia yangu na haijawahi kutokea kwetu.. Nilistushwa na reaction yako nikajikuta nimewaza Mambo mengi Sana kwa wakati mmoja
Ah jitahidi ule matunda usiku huu.Of course sio tabia yangu na haijawahi kutokea kwetu.. Nilistushwa na reaction yako nikajikuta nimewaza Mambo mengi Sana kwa wakati mmoja
Niko na juice hapa na maji, nadhani vitanifaa zaidi
Hata kwetu ila kitendo cha kuondoka bila kuaga pamoja na kuchukua kitu bila idhini ya mwenyeji ni kujifanya mpumbavu Tu.
Bila hotpot kurudishwa ntamsweka kituoni
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Umenena vema,jamani POT... au chakula kweli,duuuh! mi ningesubiri arudishe tu mwenyewe na kama asingerudisha kwa wakati,ningenunua jingine,aisee sijui ni hulka ya mtu na mtu?Hili suala ungepaswa uongee naye siumesema ni ndugu? Kuleta huku ni kuonyesha jinsi gani ulivyo na roho mbaya! Namaanisha una roho ya kutu!
Ninyi ndiyo wale watu ambao huwa wanajifanya wana roho nzuri wakiona watu wengi, kumbe hamna kitu! Pata picha ndugu yako umekuja kumwanika jukwaani, eti chakula!!!! Acha roho mbaya!
Nb: Naamini umetunga na kufurahisha jukwaa!!!
Daah tunatofautiana ila bado ana kesi nyingi za kujibuUmenena vema,jamani POT... au chakula kweli,duuuh! mi ningesubiri arudishe tu mwenyewe na kama asingerudisha kwa wakati,ningenunua jingine,aisee sijui ni hulka ya mtu na mtu?
Hakika watu tuko tofauti.
Sawa nduguNiko na juice hapa na maji, nadhani vitanifaa zaidi
👊👊
Wewe unaoneka ni punguani.ukiona unakasirika kwamambo yachakula wewe nambwa hakuna tofauti.
Mimi mtunikishajua ni nduguyangu najivunia nae.
japo undugu lawama nahii ndio imetujenga wengi.
kunabrazawangu mmoja tumeshea mama wakatinasoma nilikaa kwakwe kunakipindi alijaza shemejizake ikabidi anitafutie pakwenda nikaenda kukaa Kwarafiki tanguhapo sikurudi hadileo sababu alishindwa kunithamini unarudi shuletuu unaambiwa Leo kunawageni hutalala hapa
hiihali ilinijenga sana nimekuwa naroho yajiwe kukeshakwangu kawaida kufanya kazi usiku kawaida hadinimekuwa nakwangu gari biashara kuwazidi ndugu wote had braza.
Naam kabisa.shida amefanya ujinga WA kuondoka bila kuaga tena kwa kubeba na chakula je mwanao akienda kwa jirani ukhty utakubal afanye hivi?Sasa si ulimpa mwenyewe?
Wacha roho mbaya, mpendelee nduguyo unachokipenda wewe.
Hahaha unambiwa kabisa kesho ntakuja kwako ukimwambia sitokuwepo ntakua kazini anaomba umuachie funguo 🙆♂️Huwezi kuja kwangu bila taarifa tena muda wa kazi eti nikuache home, labda tumetoka tumbo moja
Hili jina lako limekaa kimtego sanaHahaha unambiwa kabisa kesho ntakuja kwako ukimwambia sitokuwepo ntakua kazini anaomba umuachie funguo
Mtego gani tena jamani?😀 unaiona ATM mbele yako ama?
Mwanangu hakai Tanzania, kwa hiyo mfano wako ni batili.Naam kabisa.shida amefanya ujinga WA kuondoka bila kuaga tena kwa kubeba na chakula je mwanao akienda kwa jirani ukhty utakubal afanye hivi?
Hawa ndugu wasio na nidhamu ni mzigo ukhty
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app