Tafadhali ndugu zetu mkija kututembelea majumbani mwetu msiondoke na chakula( Kula uondoke)

Hata kwetu ila kitendo cha kuondoka bila kuaga pamoja na kuchukua kitu bila idhini ya mwenyeji ni kujifanya mpumbavu Tu.

Bila hotpot kurudishwa ntamsweka kituoni



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Hili suala ungepaswa uongee naye siumesema ni ndugu? Kuleta huku ni kuonyesha jinsi gani ulivyo na roho mbaya! Namaanisha una roho ya kutu!

Ninyi ndiyo wale watu ambao huwa wanajifanya wana roho nzuri wakiona watu wengi, kumbe hamna kitu! Pata picha ndugu yako umekuja kumwanika jukwaani, eti chakula!!!! Acha roho mbaya!

Nb: Naamini umetunga na kufurahisha jukwaa!!!
Umenena vema,jamani POT... au chakula kweli,duuuh! mi ningesubiri arudishe tu mwenyewe na kama asingerudisha kwa wakati,ningenunua jingine,aisee sijui ni hulka ya mtu na mtu?
Hakika watu tuko tofauti.
 
Umenena vema,jamani POT... au chakula kweli,duuuh! mi ningesubiri arudishe tu mwenyewe na kama asingerudisha kwa wakati,ningenunua jingine,aisee sijui ni hulka ya mtu na mtu?
Hakika watu tuko tofauti.
Daah tunatofautiana ila bado ana kesi nyingi za kujibu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
ukiona unakasirika kwamambo yachakula wewe nambwa hakuna tofauti.

Mimi mtunikishajua ni nduguyangu najivunia nae.
japo undugu lawama nahii ndio imetujenga wengi.

kunabrazawangu mmoja tumeshea mama wakatinasoma nilikaa kwakwe kunakipindi alijaza shemejizake ikabidi anitafutie pakwenda nikaenda kukaa Kwarafiki tanguhapo sikurudi hadileo sababu alishindwa kunithamini unarudi shuletuu unaambiwa Leo kunawageni hutalala hapa

hiihali ilinijenga sana nimekuwa naroho yajiwe kukeshakwangu kawaida kufanya kazi usiku kawaida hadinimekuwa nakwangu gari biashara kuwazidi ndugu wote had braza.
Wewe unaoneka ni punguani.

Hivi unaweza kumnyima chakula mtu hapohapo wewe ndio umempa vyakula? Jitahidi uwe unasomea vizuri hata kurudia mara tatu sawa.

Hivi uundekeze upumbavu kwa watu wasiojielewa kisa ndugu?

Mtu anakuja bila taarifa umemamua kumpokea na kumpa umiliki wa kuishi kwako tena hujawai muona miaka 7 nyuma huko

Amepika kaondoka na chakula ,hivyo ndivyo familia yenu mnafundishwa?

Mbaya zaidi ajaaga wakati anaondoka alivyo mjinga kaondoka funguo kamuachia jirani...ili Hali mm mhusika sijawai kufanya unaona NI sahihi?

Tena kidume cha mana.

Hayo mambo ya kuwa kumbatia ndugu wapuuzi ndio mana watoto wenu wanabakwa

Mimi ndugu kama Hana heshima na nidhamu Hana nafasi katika maisha Yangu Sawa Baba huruma.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Naam kabisa.shida amefanya ujinga WA kuondoka bila kuaga tena kwa kubeba na chakula je mwanao akienda kwa jirani ukhty utakubal afanye hivi?

Hawa ndugu wasio na nidhamu ni mzigo ukhty



Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mwanangu hakai Tanzania, kwa hiyo mfano wako ni batili.

UMie naona kafanya vizuri, hakupenda kukuwachia vyombo vichafu na yeye alikuwa na haraka zake, akona aondoke na vyombo isiwe tabu kwako.
 
Back
Top Bottom