Sawa ila jitahidi usome Al akhalak vizuriMwanangu hakai Tanzania, kwa hiyo mfano wako ni batili.
UMie naona kafanya vizuri, hakupenda kukuwachia vyombo vichafu na yeye alikuwa na haraka zake, akona aondoke na vyombo isiwe tabu kwako.
Sawa mkuu ahsante kwa ushaurimsamehe tu hilo hotpot, siku nyingine usimuache peke yake nyumbani kwako.
Never...kuna vitu mimi mbinafsi sana.Hahaha unambiwa kabisa kesho ntakuja kwako ukimwambia sitokuwepo ntakua kazini anaomba umuachie funguo 🙆♂️
Aah kuna mtu nimekuta kajichukulia nguo na viatu anasema eti alijua sivitumii seriously?Never...kuna vitu mimi mbinafsi sana.
Kwangu ni rules zangu aisee
Nina hotpot sita hapa Kwangu ...sina umaskini huo. Ila sipendi watu wasiyokuwa na nidhamuUnawaza Vitu vidogo vidogo mno! Nunua Hotpot nyingi za kutosha!
Stretch your mind na pia acha uchoyo!
Kinachokusumbua wala si huyo nduguyo aliyeondoka na Hotpot, kinachokusumbua ni umaskini! Pambana na hilo!
Hawa ndugu ni mtihani sanaAah kuna mtu nimekuta kajichukulia nguo na viatu anasema eti alijua sivitumii seriously?
Nimeamua niingie gharama tena ..nishamtumia nauli kesho amemsema atalileta hotpotMkuu, usikubali. Mwambie arejeshe hotpot na aache mazoea ya kiwaki.
Alipika pilau wali na vipapatilo vilivyokuwepo kwenye friji, akaona na juice yangu akainywa yote daah...Alikarangiza nini
Huku kwetu hatusemeani chakula.. Labda angekua kaondoka na TV au vitu vingine Ila sio chakula.. Anyways pole
Kumbe alikua mwanaume😬😂🤭Mrejesho amerudisha hotpot langu.
Ameniomba msamaha,kumbe alimpelekea demu wake alikuwa na njaa
Nimeshangaa sana yaani mpaka anakuja kufungulia uzikwaiyo Mada apa ni hotpot na huo ugali aliobeba...Maisha ni magumu sana asee esp Mjini.