Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,031
- 4,236
Merry Christmas
Hivi karibuni nilitembelewa na ndugu yangu majira ya saa tano asubuhi tena bila taarifa.
Kwakuwa alikuja time naenda job nikamuachia maelekezo yote ya msosi ukizingatia huwa nanunua mazagazaga yote ya mwezi mzima naweka ndani.
Niliporudi job saa 10 jioni sijamkuta nyumbani, nampigia simu ananiambia alipika chakula akaweka kwenye hotpot akaondoka nacho( yaani ameondoka na hotpot langu).
Hivi ni sahihi kuondoka na chakula?
Kwanini usile ukaondoka mpaka ubebe chakula uondoke nacho kweli ?
Nipo nafight arudishe hotpot langu mpuuzi huyu
Ndugu wengine ni mzigo Sana.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app