Tafadhali naomba kufahamu uwepo wa wana (Lab analyst )watu ambao wanafanya shughuli za kutazama ubora wa sampuli

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
685
625
Hellow wana Jf
Tafadhali naomba kufahamu uwepo wa wana (Lab analyst )watu ambao wanafanya shughuli za kutazama ubora wa sampuli mbali mbali (Mafuta, Mkaa, nafaka,Mavazi n.k) kwa kutumia njia (Methods) mbali mbali (wet/dry method) na nyenginezo, kutengeneza kemiko (chemical preparation) , kufanya test za mchanga, udongo na Rami( bitumen) katika shughuli za ujenzi ( barabara / majengo). Lengo ni kua tunasaidiana katika changamoto ambazo zinatokea katika maeneo yetu ya kazi..

Najua humu tuna wataalamu wengi naomba mawazo yenu kama nitakua nimekosea pahala flani... Au kama kuna association basi join me please ni kwa ajili ya kujenga.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom