ANDAAA DEMS0450/032/2006 Hii ndo user name yake
MKUU HAJACHAGULIWA KABISA HEBU WEKA MATOKEO YAKE HAPA TUONE MAANA NIMEANGALIA HAYUPOsijakuelewa ndugu
kama kasaau atumie ile namba ya vocha aliolipia nayo TCU au kuna swali ambalo aliulizwa incase kama atasaau password kama kasaau vyote iv bas aende Ofisi za Tcu moja kwa moja rafiki yangu lilimkuta ili na alienda ofisi za Tcu akafanikiwa kupewa password........NINA MDOGO WANGU BAADA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALMU KUTOKA EMAIL YAKE IKAWA NA MATATIZO HIVYO AKASHINDWA KUPATA PASWORD ALIYO TUMIWA WAKATI WA KUTUMA MAOMBI HIVYO AMESHINDWA KU-LOG IN KWENYE PROFILE YAKE ILI KUJUA AMECHAGULIWA CHUO GANI NIMEJARIBU KUWAPIGIA CENTRAL ADMISSION HAWAPATIKANI NAOMBA MSAADA WENU WADAU TAFADHALI JINSI YA KUTATUAHILI TATIZO!NATANGULIZA SHUKRANI
ASANTE KWA USHAURI MUNGU AKUBARIKI BARBOSAkama kasaau atumie ile namba ya vocha aliolipia nayo TCU au kuna swali ambalo aliulizwa incase kama atasaau password kama kasaau vyote iv bas aende Ofisi za Tcu moja kwa moja rafiki yangu lilimkuta ili na alienda ofisi za Tcu akafanikiwa kupewa password........
AmenASANTE KWA USHAURI MUNGU AKUBARIKI BARBOSA
kwenye account yake aeke iyo namba ya form 4 aende sehem imeandikwa forget paswod apo itamuelekeza aeke paswod mpya na ataona sehem ya kueka iyo namba ya vocha account itafunguka tayarALITUMA KWA M-PESA WAKAMTUMIA ILE NAMBA YA MALIPO AMBAYO ANAYO HADI SASA ILA NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA