Tafadhali! kwa aliyekwisha wahi

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
za jumapili wakuu..nahitaji kununua smartphone kutoka IT-DEPOT kama kuna mtu ameshawahi kufanya biashara na hawa jamaa ON LINE anijuze tafadhali kwa anayefahamu hili.natanguliza shukrani kwenu.
 
za jumapili wakuu..nahitaji kununua smartphone kutoka IT-DEPOT kama kuna mtu ameshawahi kufanya biashara na hawa jamaa ON LINE anijuze tafadhali kwa anayefahamu hili.natanguliza shukrani kwenu.

Nimenunua G20 nipo Zenj nimeipokea simu kwenye boti.nimetuma pesa saa nne asubuhi saa nane mchana nimepokea simu yangu.
 
shukurani kwako mkuu...mkuu kwa ushahidi wako mimi natuma pesa nimejilizisha.
 
Back
Top Bottom