Tafadhali Keyboard ya laptoap aina ya toshiba

Mchebe

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Nina laptop yangu aina ya toshiba imekufa keyboad. Kuna batan kama 7 tu ndio zinafanya kazi, kwa sasa natumia externa keyboard but inaniboa coz nahic napoteza maana hals ya laptop yangu. So kama zinauzwa ni bei gani and where can get it.
 
I face the same problem .yangu n toshba pia tena zimekufa button nyng 2.endelea ku2mia extenal 2
 
Nina laptop yangu aina ya toshiba imekufa keyboad. Kuna batan kama 7 tu ndio zinafanya kazi, kwa sasa natumia externa keyboard but inaniboa coz nahic napoteza maana hals ya laptop yangu. So kama zinauzwa ni bei gani and where can get it.
toshiba kuna version nyingi za toshiba yako ni toshba ipi
 
Kuna mate wangu naye anatoshiba iliyokufa keyboard.
Anatumia external.
 
Back
Top Bottom