Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

Tafadhali Deus Kibamba acha kumchafua Lowassa

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari wana JF,

Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.

Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?

Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
 
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
 
Kuna mtu alihoji mtu mliyempokea kwenye chama ni '' asset " au "liability " ? sasa nadhani mna majibu sahihi kila kukicha sasa ni kutetea anayoharibu au aliyowai kuharibu
 
Habari wana jf
Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday mheshimiwa kibaba katolea mfano mh Lowassa kuwa wakati WA kipindi chake aliingia mkataba WA kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilio 2 bila mafanikio.
Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati WA Lowassa Tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?
Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan?
Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati WA lowassa Tu?
Huyo ni mchumia tumbo mkuu
 
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
na magufuli kwa kweli alipaswa anyongwe na kutupiliwa mbali hata kikwete na mkapa kama ndio sera yako
 
download.jpeg
 
kwani huo jamaa ndo wa kwanza kumchafua lowassa!!! mbona lowassa amechafuliwa miaka mingi tu iliyopita!!
 
Lowasa hafai kabisa ni moja kti ya wana siasa walioibia sana taifa hili tena kwa njia za ujanja ujanja tu
Ndio mana hata siku hizi sauti yake inazidi kupotea Maneno ya kuongea dk 10 yy ataongea masaaa 4. Mjinga Huyo mzee
 
NGO's nyingi saizi zinakufa. Dawa iliyobaki ni kujipendekeza kwa Ngosha ili upate teuzi...

Ebu fikiria "Jukwaa la Katiba" wanafanya nini kwa sasa?... Mirija ya ufadhili imekata, how can they survive?
 
Habari wana JF,

Nipo hapa naangalia clouds 360 on Saturday Kibamba katolea mfano Mh Lowassa kuwa wakati wa kipindi chake aliingia mkataba wa kitapeli na kampuni ya Victoria ili kusambaza maji Dar es salaam na maji hayakutoka hivyo kufungua kesi kimataifa ambapo serikali ilituma wanasheria na kuwalipa Tsh bilioni 2 bila mafanikio.

Sasa maswali kwa kibamba hivi Ni wakati wa Lowassa tu ndo mikataba ya kitapeli ilisainiwa?

Hiyo mikataba ya makinikia kusafirishwa nje ilisainiwa na kipindi cha Waziri Mkuu nani na chini ya serikali gan? Kama lengo lake Ni kuongelea mikataba ya kitapeli mbona kaongelea wakati wa lowassa Tu?
Mtamtetea sana luwasa lakini yule ni mbwa hasafishiki. Mungu alitusikia kilio chetu mana angekuwa rais kila kitu kimeshauzwa na ofisi zote kujaza Wachaga kuanzi igp, cdf n.k
 
Nilishasema humu kwa mtanzania anayejitambua na asiyetanguliza maslahi binafsi na ukanda ukanda , Lowassa alikuwa wa kumpoteza na kizazi chake chote cha nyoka ili tusonge mbele. Angenyongwa na kutupiliwa mbali
Wewe ulitanguliza nini wakati Ukawa wakitaka mikataba yote iwasilishwe bungeni, mbona uliwazomea ukidai haiwezekani siri za serikali ziwekwe hadharani! Wewe naye!
 
Back
Top Bottom