Tafadhali CAG usijiuzulu

Kama mifumo iko vizuri na inafanya kazi kwa sheria, kanuni na taratibu bila kuvunja katiba ya nchi, sioni sababu ya kuulizana maswali kama mko darasani kwa lengo la kupata publicity, if you act smart jamii itakuelewa tu, hauna haja ya kuuliza maswali ya kutafuta sympathy kwa wananchi, shukrani!
 
Mimi nina wasiwasi huo pia Mkuu, baada ya kudhalilishwa leo hadharani hataona umuhimu wa kuendelea kuwepo na akiondoka kitaletwa kikaragosi cha jiwe ambacho hakitagusa ovu lolote lile bali kula bata zake kimya kimya. Angalia TAKUKURU! Pale hakuna chochote cha maana kinachoendelea zaidi ya kutafuna mabilioni ya walipa kodi.

CAG najua huwa unapita humu nami nakuomba sana usijiuzulu Taifa linakuhitaji kuliko wakati mwingine wowote ili kupambana na maovu chungu nzima ndani ya hii Serikali na taasisi zake mbali mbali.


 
Nakumbuka tukivyokuwa shule ya msingi nilifanya tendo la baba na mama na binti mmoja wa darasa langu. Kwa sababu ya utoto nikaenda kuwahadithia ile habari wenzangu darasani. Habari zikamfikia yule binti. Yule binti alivyopata habari akaniita mimi na wenzangu wote pamoja na marafiki zake. Akanisimamisha akaniuliza mbele ya watu wote, "Eti wewe umesema kuwa mimi na wewe tumefanya tendo la baba na mama?". Mimi katika yale mazingira na kwa utashi wangu nikasema "Hapana hatujafanya". Nikakaa. Lakini kiukweli tulikuwa tumelifanya lile tendo.
 
Duh!
 
Wewe unafikiri hata asipojiudhuru atafanya kazi kawaida kama mwanzo?
 
*ningejiuzulu
*licha

Yawezekana alijua ndo mana hakuona kama kuna issue pale..ile tuendelee kuangalia hili picha mana Zitto kashajibu
 
Hivi hii ni ishu ya Prof kujiuzulu?.
 
Reactions: BAK
Eti "china google haiko huru".sasa kwani sisi wachina?

Yeye kipimo chake cha maendeleo na demokrasia ni China, sisi wengine kipimo chetu ni US maana hao wana maendeleo na demokrasia kubwa kuliko China.
 
Nimeshangaa sana Mkuu yaani nimeshangaa mno tunashida kubwa sana.
 
Kwa kudhalilishwa kulikotokea leo anaweza kabisa kuamua kubwaga manyanga jiwe atafurahi sana hilo likitokea kwani ni nafasi ya kupewa kikaragosi chake ambacho hakitaandika chochote kibaya dhidi ya hili genge la wahuni na majizi wanaojichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge.

Hivi hii ni ishu ya Prof kujiuzulu?.
 
Siwezi kubishana na na mtu anae mtumikia kafili aisee mimi najiamini na maisha yangu na huwa naumia sana kuona hii nchi watu waki ishi kwa tabu kwajili ya watu wavhache kama nyie.
Haya ni majibu ya mtu aliepanic na haamini kile kinachotokea sasa. Mnaumbuliwa kweupeeeeee
 
Sikh hizi kila hafla anaita wakuu wa vyombo vya usalama, ili kutisha watu, kulikuwa na ulazima gani CAG kuwepo pale??

kulikuwa na ulazima gani kuongelea mambo yanashugulukiwa na bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…