Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. OverHii nchi niya ajabu sana nilipo ona raisi ana muuliza cag mbele ya halaiki nika zalau kabisa.
Hajamteua Yeye!Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Siwezi kubishana na na mtu anae mtumikia kafili aisee mimi najiamini na maisha yangu na huwa naumia sana kuona hii nchi watu waki ishi kwa tabu kwajili ya watu wavhache kama nyie.Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Hii ni akili ndogoAlimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
HEKIMAHii nchi niya ajabu sana nilipo ona raisi ana muuliza cag mbele ya halaiki nika zalau kabisa.
Kamteua naniHajamteua Yeye!
Haya mfuasi wa. CAGSiwezi kubishana na na mtu anae mtumikia kafili aisee mimi najiamini na maisha yangu na huwa naumia sana kuona hii nchi watu waki ishi kwa tabu kwajili ya watu wavhache kama nyie.
Ulimteua weweHii ni akili ndogo
Kaka Kunawatu niwehu ama wako timamu ila kwajili ya kutete matumbo yao huamua kutetea ata upuuzi.watu kama hao hawastahili kuwajibu kistalabu maana nimangedele tuu.Hajamteua Yeye!
Tatzo tumbo ila anajua kila kitu sjawahi kuona ccm ana hoja ya msingi.Hii ni akili ndogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vitu vingine raisi ana ongea kaa mtoto kwenye swala la msingi ccm wajivunie kutawala tanzania ingekua nchi kama Brazil tunge kuwa tume wasahau zaman sana.Eti "china google haiko huru".sasa kwani sisi wachina?