Tabu hizi mpaka lini???

Mpaka mnikabidhi nchi hii na kauli mbiu yangu ni WANANCHI nipeni nchi mfaidi mema ya nchi yenu
 
Ndo wapiga kura wa chama la mashetani
 
DODOMA HII NDO KAMA KAWA KAMA ADA.
 
Wamebeba ndoo kichwani wanatembea kilomita 8 huku wanaimba, "wataisoma namba". Huruma Sana.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Picha inaongea
midomo yao wanajua kuipepeta si rahisi kwao kumjua mkweli,
uoga juu ya chama tawala kipya umewatanda.. wakisindikizwa na jumuia,ushikamano, ukijumlisha na wingi wao wameisukuma kete.
 
Hivi kweli kila kitu tutailaumu serikali!*&+%

Na serikali ni nani tena?!:-&
 
Mpaka pale wakwepa kodi Chadema watakapoacha tabia yao ya kuwaibia wananchi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…