Tabora yangu Tabora

Hata mi nilisoma tbr miaka hiyo. je hosp. ya kiteto ina hali gani. mitaa ya kanyenye imeamka au bado. na tbr hotel inaendeleaje.
 
Namkumbuka sana Marehemu Mario mgulunde alituunganisha vijana katika kombe la mgulunde kwa wale waliosomea tabora. Yaani kila kitu tabora zero nilipita kuuangalia uwanja wa vita yaani hata gate wameshindwa kutengeneza, bado huyo huyo mwenyekiti wangu wa simba ndio kiongozi TRFA. Yaani tabora ni machungu kila mahali, vijana wamechoka hawana kitu mizinga kila unapokutana na masela. Au kwa sababu kuna kambi nyingi za Jeshi? yaani huwa sipati picha. Ligi daraja la tatu sijuwi liliishia wapi wapi majimaji kiloleni, rufita club, mahakama, kurugenzi, hamka nzega, tembo nzega nk, aise shem on them
 
Hata mi nilisoma tbr miaka hiyo. je hosp. ya kiteto ina hali gani. mitaa ya kanyenye imeamka au bado. na tbr hotel inaendeleaje.

It is no longer Tabora Hotel but Horion Hotel.
 
nimezaliwa tabora isevya , tatizo mojawapo la kuwa nyuma ni hawa waarabu maana biashara zote wamekamata wao na wanaabudiwa sana na viongozi. kubwa zaidi UHIRIKINA!
 
Mashilambah;3193511]nimezaliwa tabora isevya , tatizo mojawapo la kuwa nyuma ni hawa waarabu maana biashara zote wamekamata wao na wanaabudiwa sana na viongozi. kubwa zaidi UHIRIKINA![
 
I was born there but I will never set my foot there...wachawi wizi wazinzi..mji mbaya kabisa ilaaniwe tabora
Sasa usipoenda wewe nano ataenda tabor a kweli torabora
 
Hata mi nilisoma tbr miaka hiyo. je hosp. ya kiteto ina hali gani. mitaa ya kanyenye imeamka au bado. na tbr hotel inaendeleaje.

Mamndenyi, hospitali ya Kitete ni pathetic, majengo yamezeeka huduma mbovu, ni hobela hobela!
 
Poleni wana Tabora kwa kuletewa sanamu la Kambarage na uwanja usiokamilika tangu enzi za Mzee Ali Hassan Mwinyi!
Nyie kama wana Tabora mnayo mikakati gani ya kuondokana na hali hii?
 
Vjana Wasojielewa Pia Wapo Tabora,wao Huwa Wanasema'ishi Bora Nmekula Sembe Langu Vurugu Za Nini Ishi'teh Teh! yan wao kujihusisha na kujua mkoa wao unakwenda vp,wanaita ni vurugu. pia nipo tbr-mwinyi
 
I was born there but I will never set my foot there...wachawi wizi wazinzi..mji mbaya kabisa ilaaniwe tabora
Mzembe, mpuuzi, mshamba sana wewe(mimi si mzaliwa wa mji huu) bali nimeishi na kusoma MBOKA MANYEMA na jamaa zangu wengi wapo hapo, huu tendei haki kwa kuwa na mdomo mchafu kiasi hicho kwa interest zako tu. Laumu viongozi wa nchi kwa kutokuendeleza mji badala ya mji wenyewe. SHAME ON U:angry::angry::angry::angry::angry:
 
Vjana Wasojielewa Pia Wapo Tabora,wao Huwa Wanasema'ishi Bora Nmekula Sembe Langu Vurugu Za Nini Ishi'teh Teh! yan wao kujihusisha na kujua mkoa wao unakwenda vp,wanaita ni vurugu. pia nipo tbr-mwinyi
...ishi; we wapi, Itonjanda? LOL
Mama Mwasubila akikuwa rafiki yake mama yangu, mshakaa Cheyo?
 
I love my tabora and freedom is coming. Usjali koz nimezaliwa hapo milambo baracks na isevya cheo, kiloleni, mihogoni, ng'ambo, kanyenye ,mwinyi etc ndo vitaa vyangu" so doncare tabora bkoz SHARD and CHADEMA will b ur saviour.
Dahh hivyo vyote ndo vilikuwa viwanja vyetu miaka hiyoooooo, tukitoka shule la wanaume MILAMBO. Tunakula chocho sokoni,mwinyi,kanyenye,game reserve, quarter za jeshi,national housing haoooo. Umenikumbusha sana mkubwa. Nasikia game reserve kwishine!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…