bona inakuanga vingumu kuelewa swala dogo sana, huyu mtu anaongea vile tabora iko na vile inahitaji wawekezaji au watu wa kuipeleka mbele, sasa mambo yako ya singinda inakujua wapi, uelewa wako mkuu ni mdogo sanaNenda Singida mkuu,toka huko Tabora,singida kuna bebez Kali na viwanda vipo
tabora itakuwa toronto, ni kaa kusema jiwe atakuwa zaidi ya trumpNmekaa Tabora miaka 3, Tabora maeneo mengi ni ya serikali na hayaendelezwi.
Mfano mzuri ni Magereza, Boma, Airport.
Biashara zinaenda wastani mfano nguo zinapata soko sana.
Kuna vyuo vingi mfano chuo cha uhazili, St. Augustine, AMUCTA na vyuo vidogo vinavyochangamsha mji na mabaharia.
Changamoto ya mkoa wa Tabora ni maji. Tabora kuna uhaba wa maji sana hali inayofanya pasifae kwa maisha.
Muda si mrefu wataanza kupata maji kutoka Victoria na kwa spidi ya Mh. Mwamri Tabora itakua Toronto.
si ulete mambo ya mtwara hapa, huyu kaleta ya tabora. wewe tuletee ya mtwaraSasa wewe unaesemea Tabora,vp Mtwara?
Tabora ni pahali panaweza kukua sana kiuchumi, kunawezekano wa kuweka kiwada cha kisasa cha asali, cha kujicha ngome na mbuzi na pia kuwekeza katika shamba kubwa ya ngombe wa maziwa na kiwada cha maziwa, tatizo kubwa kwa mji kaa tabora na miji mingine na tz kwa ujumla ni hili, mazingira chafu na mabaya kwa uwekezaji , ile kitu inaitwa FDI wawekezaji toka nje ya nchi wanaweza ekeza, lakini kwa hii serikali APANA, so tz itabaki vile vile very very poor countryTabora mjini bado kuna nyumba nyingi za udongo, usafiri wa baiskeli, bodaboda kidogo Sana, taxi chache na kuukuu, daladala moja Tu. Hakuna kiwanda kama vipo labda 2 vidogo vya kuchapisha au mikate (mtanisahihisha).
Lakini hata maduka mengi hasa ya wenyeji hiwa yanafunguliwa saa 3 asubuhi na kufungwa saa 12 jioni. Nyumba zenye hadhi ya kulala watumishi sio rahisi kupatikana, mitaa ya wenyeji kuna wakora wengi.
Kwaakili yangu nilidhani kuwa maeneo ya karibu na airport kungekuwa kunauzwa bidha za Tabora kama vile asali, karanga, tumbaku na vitu mingine vinavyopatikana Tabora ili wanaosafiri kwa ndege pia wawe wanasaidia kukuza uchumi wa Tabora Kwa kuzinunua bidhaa zao Kwa urahisi. Lakini airport Yao imezunguukwa na majani Tu hakuna biashara yoyote inayofanyika maeneo yale.
Mzunguuko wa hela sio mkubwa sana hivyo maisha sio rahisi sana.
Nadhani Tabora inahitaji jicho la ziada.
Tatizo la mkoa wa tabora wote ni UMWINYI, wa wakazi wake, hawataki kufanya kazi, wao ni bao tu, yaani ni kama mikoa mingi ya pwani,, na ndio maana hata vijana wa pale wengi ni vibaka tu tu, katika mikoa inayoongoza kwa ukabaji ukiacha dar ni tabora!! Vijana hawataki kufanya kazi!! Msikitini, kwenye bao na kahawaTabora ni pahali panaweza kukua sana kiuchumi, kunawezekano wa kuweka kiwada cha kisasa cha asali, cha kujicha ngome na mbuzi na pia kuwekeza katika shamba kubwa ya ngombe wa maziwa na kiwada cha maziwa, tatizo kubwa kwa mji kaa tabora na miji mingine na tz kwa ujumla ni hili, mazingira chafu na mabaya kwa uwekezaji , ile kitu inaitwa FDI wawekezaji toka nje ya nchi wanaweza ekeza, lakini kwa hii serikali APANA, so tz itabaki vile vile very very poor country
Wakazi wa tabora ni wavivu!!!Tabora ya miaka ipi hiyo unaizungumzia, So far Tabora imebadilika sana hivi karibuni barabara za mji zimeboreshwa tena kwa kiwango cha lami kuanzia isevya, ipuli, magereza, kiloleni, cheyo, mwanza road, mwinyi, n.k watu wanafanya biashara, watu wanajenga inshort tabora imepanuka.
N.b
Njia kuu za kwenda mwanza, kigoma, mbeya, singida zimefunguka na mji umechangamka kwa sasa
Mtwara kuna maendelek kuliko unavyofikiriaSasa wewe unaesemea Tabora,vp Mtwara?
nimekuelewa sana mkuu, sijui tatizo la sehemu nyingi ambazo waislamu ndio wengi, kazi ya hizo sehemu ni musikitini, kahawa na ubakaji period, angalia tanga miaka ya nyuma mji ulikuwa wa mbele sana sasa elimu ni madarasa tuTatizo la mkoa wa tabora wote ni UMWINYI, wa wakazi wake, hawataki kufanya kazi, wao ni bao tu, yaani ni kama mikoa mingi ya pwani,, na ndio maana hata vijana wa pale wengi ni vibaka tu tu, katika mikoa inayoongoza kwa ukabaji ukiacha dar ni tabora!! Vijana hawataki kufanya kazi!! Msikitini, kwenye bao na kahawa
bona inakuanga vingumu kuelewa swala dogo sana, huyu mtu anaongea vile tabora iko na vile inahitaji wawekezaji au watu wa kuipeleka mbele, sasa mambo yako ya singinda inakujua wapi, uelewa wako mkuu ni mdogo sana
Umeshaona makao makuu ya mkoa yana daladala moja Tu na maduka kufunguliwa saa 3? Sehemu moja Tu inaitwa Oxygen ndo ina afadhali nyakati za jioni.Tabora ya miaka ipi hiyo unaizungumzia, So far Tabora imebadilika sana hivi karibuni barabara za mji zimeboreshwa tena kwa kiwango cha lami kuanzia isevya, ipuli, magereza, kiloleni, cheyo, mwanza road, mwinyi, n.k watu wanafanya biashara, watu wanajenga inshort tabora imepanuka.
N.b
Njia kuu za kwenda mwanza, kigoma, mbeya, singida zimefunguka na mji umechangamka kwa sasa