Ukipiga kura ilaani ccm hapo hapo unasema tu Mungu zidi kuiangamiza CCM.
Nikuiona na kusoma jinsi watu wanavyotaka mageuzi na ukombozi wa huu mtandao wa ufisadi nafarijika sana, ila nasikitika zaidi wakuu nikirudi nyumbani kwangu, mke wangu ni CCM mok kero......nyumba yangu mwenyewe naichukia utadhani naingia lumumba makao makuu ya wezi.