Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki kubwa, baada ya watu wasiojulikana kuwa na kawaida ya kuwateka watoto wanaoenda shule na kisha kunyofolewa sehemu zao za siri.
Namwaminia mkuu wa mkoa Mhe. Aggrey Mwanri, kama ni kweli basi afanye la ziada. Na wakazi wa Tabora muache ushirikina, this is too much.
🙋Anaebisha atikisike mikono