habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lKini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ninani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

as a matter of fact, makabila yote ya ki Afrika, Ulozi au uchawi ilikuwa/ni part and parcel ya maisha yetu kwa ujumla. Babu wa babu zetu waliishi hivyo na ilionekana kuwa Ok tu,dawa yao mkerewe tu, wanaogopa wakerewe vibaya sana wakisikia we ni mkerewe wala hawakugusi utakaa na kumaliza shughuli zako na kuondoka, nimesoma milambo 0-level na primary urambo kijiji cha kazaroho na songambele njia ya kwenda ulyankulu ukitokea urambo, wanaliogopa sana hilo kabila na sijajua sababu yake ni nini
mbona dsm ndio zaidihabari wana jamvi. Mimi niko tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? Na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za tanesco? Mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
ha ha haa haaaaaa !!na mengi utakuta yameandikwa tunatibu nguvu za kiume, sijawahi ona wanatibu nguvu za kike
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
Unapenda kidogo, si sana!,,!!!Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
we ni mwenyeji wa wapi, na tabora una muda gani hapo, je ulishawahi kuishi mikoa mingine au sehemu za mijini, hapo suala siyo tabora tena tabora naweza sema hayo mabango ni kama hakuna kabisa, njoo dsm, nenda mwanza n.k. ukaone jinsi yalivyotapakaa, kiukweli kwa tabora mi sijawahi ona na kama yapo basi yameanza sasa hv tena baadhi ya maeneo.