Tabora na imani za kishirikina

kajaga88

JF-Expert Member
Jul 7, 2013
228
31
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
 
Huu mkoa nimeukubali kwa ndumba! Kuna mdada mtaani kwangu alitembea na mume wa mtu akapigwa kipapai cha hatari. hivi navyoandika hapa ni marehemu sasa.
 
habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lKini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ninani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

Kivipi?
 
we ni mwenyeji wa wapi, na tabora una muda gani hapo, je ulishawahi kuishi mikoa mingine au sehemu za mijini, hapo suala siyo tabora tena tabora naweza sema hayo mabango ni kama hakuna kabisa, njoo dsm, nenda mwanza n.k. ukaone jinsi yalivyotapakaa, kiukweli kwa tabora mi sijawahi ona na kama yapo basi yameanza sasa hv tena baadhi ya maeneo.
 
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

Uandishi wako hapo kwenye Bold upo very general as if ni kitu kinachoonekana Tabora tu wakati ni nchi nzima. mimi ni mzaliwa wa Tabora. Mabango ya waganga wa kienyeji yapo mitaa ya uswahilini tu kama ilivyo Dar es salaam ukikatiza Tandale, temeke,kigogo,buguruni,mtongani etc.

Kukuta mabango ya waganga wa kienyeji eneo kama Ng'ambo,Isevya,Chem chem,Kiloleni unashangaa nini?
 
Ni kweli huo mji kwa uchawi upo juu!
Ctasahau nilipokua chuo, mgombea mmojawapo wa urais wa chuo kipindi hicho nasoma anatokea huko alienda hadi kwa mganga kisa urais wa chuo!
Rejea ule mti uliosimama wenyewe ....ile ilikuwa ripoti kuwa lucifer ndo anatawala hapo.
 
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

.......Huko, inatakiwa ipelekwe ile Injili ya Moto, hayo mabango yatang'oka yenyewe,. hali hiyo sio Tabora pekee, imetapakaa nchi nzima,
hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi
 
dawa yao mkerewe tu, wanaogopa wakerewe vibaya sana wakisikia we ni mkerewe wala hawakugusi utakaa na kumaliza shughuli zako na kuondoka, nimesoma milambo 0-level na primary urambo kijiji cha kazaroho na songambele njia ya kwenda ulyankulu ukitokea urambo, wanaliogopa sana hilo kabila na sijajua sababu yake ni nini
 
as a matter of fact, makabila yote ya ki Afrika, Ulozi au uchawi ilikuwa/ni part and parcel ya maisha yetu kwa ujumla. Babu wa babu zetu waliishi hivyo na ilionekana kuwa Ok tu,
yale matambiko, makafara, mazindiko ilikuwa ni mila na desturi zao !!
LAKINI, kwasababu waliiabudu miungu mingine, effects/madhara yake ndiyo yanatafuna kizazi cha leo. Hapa nina maana ile milaana ya kila aina tuliyo nayo leo imetokana na hiyo ishue
 
habari wana jamvi. Mimi niko tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? Na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za tanesco? Mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
mbona dsm ndio zaidi
 
na mengi utakuta yameandikwa tunatibu nguvu za kiume, sijawahi ona wanatibu nguvu za kike
 
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.

Katavi ipo wapi kwani , na simiyu manake nayenyewe ipo kichawichawi.
 
Habari wana jamvi. mimi niko Tabora, lakini kitu cha ajabu mji mzima kumejaa mabango ya waganga wa kienyeji, ambayo yanashawishi wananchi kufanya vitendo vya uhalifu. Swali langu ni hivi, hakuna viongozi wa mitaa? na ni nani anatoa ruksa kubandika mabango haya kwenye nguzo za Tanesco? mimi binafsi inanikera na sipendi sana.
Unapenda kidogo, si sana!,,!!!
 
we ni mwenyeji wa wapi, na tabora una muda gani hapo, je ulishawahi kuishi mikoa mingine au sehemu za mijini, hapo suala siyo tabora tena tabora naweza sema hayo mabango ni kama hakuna kabisa, njoo dsm, nenda mwanza n.k. ukaone jinsi yalivyotapakaa, kiukweli kwa tabora mi sijawahi ona na kama yapo basi yameanza sasa hv tena baadhi ya maeneo.

hakuna mabango ila ndumba zipo zinapigwa kimyakimya mi mzaliwa wa hapa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom