Tabora mji wa washamba kubayaaa

Thanks my lovely.

Walalao wala usiwaamshe waache walale tu mwaya ila mwenyewe ndio najua kuwa yaliyomo yamo my lovely.

Heshima kwako my.
Thanks dear, usimstueee [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aisee dodoma , tabora aaghr ni kubaya sna sio siri
mjini haijabadilika mkuu, nimetoka huko mwaka 1994 nikiwa nimemaliza milambo secondary nikarudi 2018 hiim nikapita mitaa ya mwanza road, chemchem, isevya, kiloleni, nyumba nilizoacha miaka hiyo zipo vile vile, kwa kweli haijabadilika, ila nje ya mji kiduuuchu imebadilika, ila bado sana, sasa hujatembelea wilaya zake kama urambo, igunga, nzega, na sikonge, unaweza ukasema usirudi, ila napasifu kwa asali tu
 
Tabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi?

Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
yani hii chemchem haijabadilika kabiiisa, ipo vile vile tangu miaka ya 90, naifahamu vizuri sana kwani nimesoma milambo secondary na chemchem ndio tulikuwa tunaenda ponea mademu wa kinyamwezi
 
Ni mkoa ambao hauna changamoto kubwa ya kuishi kwa mtu mwenye kipato cha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…