Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,390
Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
kubayaWamekufanya nini huko tabora jamaa
Hebu Jaribu jiji la Dodoma sasaMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
kisandu Jr!!...hivi Sr washamuachia huru?Ni ngome ya chama chetu japo kua inaongoza Kwa kuwa na vichaa wengi Sana wanao zurura mitaaniMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Ogopa sana maeneo ambayo Sisiem INA kubalika Kwa asilimia kubwa,huwa ni masikini WA elimu,makazi,maendeleo ,afya,nkMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Wengi wao ni wabaya tofauti na wanavyo sifiwa.Ila kuna wanawake wazur
Wanekufanya nini? Maanake wanyamwezi hawana dogo, ukijifanya unajua wanakupa za uso. Hawarembi.Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Tabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii.Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Kwa hiyo?Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.