Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Tatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.
Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.
Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.
Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.
Kuwa na undugu au Urafiki katika chama ni tofauti na kukijenga chama kwa MISINGI ya undugu na Urafiki.Nitajie chama chochote ambacho hakina undugu na urafiki
Hayo ni mambo ya kawaida kabisa, akina Bush senior and junior
Akina Clinton
Akina Kenyatta na Odinga
Akina Makamba jn na snr
Akina Kawawa
Akina Malima
Akina Kikwete kuanzia mtoto chipukizi
Njoo na single nyingine
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Chizi tena!!!Mimi mgeni kiongozi unatakiwa unifehamishe sio uniite chizi! Ndio siasa zenu hizi vijana??? Tutafika kweli??kwni ujui HK si jina lake au kujitia uchizi
Tatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.
Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.
Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.
Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Chadema ni kwa ajili ya wakilimanjaro na waarushaTatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.
Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.
Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.
Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.
Watu wajinga nchi hii sijawahi kuona!Nini maana ya mdogo wa mtu?!Kwani undugu unaishia wapi katika jamii za kiafrika?CCM wametuharibia elimu kweli kweli!Hapo kwenye Red.Huyu mdogo wa dr Hamisi Andreas Kigwangala ambaye ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI mbona majina hayakutani kabisa? Hata ya ubini wameshindwa kushirikiana? Kwamba kila mtu na baba yake?
Pamoja na hayo,karibu sana CDM kamanda Kahumbi. Kwa pamoja tutafanikiwa.
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Aisee hata mimi hii imekoroga ubongo wangu. JF kapu kubwa sana.
Watu wajinga nchi hii sijawahi kuona!Nini maana ya mdogo wa mtu?!Kwani undugu unaishia wapi katika jamii za kiafrika?CCM wametuharibia elimu kweli kweli!Hapo kwenye Red.Huyu mdogo wa dr Hamisi Andreas Kigwangala ambaye ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI mbona majina hayakutani kabisa? Hata ya ubini wameshindwa kushirikiana? Kwamba kila mtu na baba yake?
Pamoja na hayo,karibu sana CDM kamanda Kahumbi. Kwa pamoja tutafanikiwa.
Funguka mkuu. Hapo pekundu sijakupata.Wabongo bana, sijui ni lishe inatufanya usifikirishe ubongo wetu........ina maana mdogo wangu tunayeshea mama sio mdogo wangu kisa sirname
Chizi tena!!!Mimi mgeni kiongozi unatakiwa unifehamishe sio uniite chizi! Ndio siasa zenu hizi vijana??? Tutafika kweli??
Funguka mkuu. Hapo pekundu sijakupata.
Mkuu kamanda wa anga leo hatakuwepo? Ila hao inabidi wamulikwe sana make unaweza kuta ni mkakati wa Magamba kuchomeka watu, Ili uchaguzi ujao wagombee hata udiwani kupitia CDM and then waje kujitoa dakika za mwisho na kuiachia CCM ipete
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa Nzega mheshimiwa Hamis Kigwangala anayejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo amevua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLAH BLAH za CCM.
Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wa zamani wamekabidhi kadi za CCM na kukabidhiwa zile za CHADEMA na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.
Karibu nyumbani kamanda.
Fwatilia mijadala usikurupuke tu kijana tulishaconclude hiyo mada kwenye thread zilizofuata baada ya hiyo. Maelezo ya mtoa mada hayakujitosheleza kutushawishi kurukia kwenye conclusion. Afu hakuna English ya Sirname, ni Surname. Kama huwezi tumia tu kiswahili tutakuelewa, umenipa shida sana kuelewa ulitaka kumaanisha nini ulipoandika sirnameWabongo bana, sijui ni lishe inatufanya usifikirishe ubongo wetu........ina maana mdogo wangu tunayeshea mama sio mdogo wangu kisa sirname
Watu wajinga nchi hii sijawahi kuona!Nini maana ya mdogo wa mtu?!Kwani undugu unaishia wapi katika jamii za kiafrika?CCM wametuharibia elimu kweli kweli!
Mnashangaa ubini wao kutokufanana siyo?!
Mbona mie naitwa VENANT RUGABELA lakini wadogo zangu wanaitwa JOSEPHINA KAKULWA, VALENCE KAKULWA, VICTOR PHILEMON?!Au mtasema siyo wadogo zangu kwa sababu hatuna jina linalotuunganisha?!Hamjui kwamba MICHAEL DALALI ni ndugu wa tumbo moja na JOHN MNYIKA ila wanatumia ubini tofauti?!
Mnataka baba akiitwa Kawawa, basi watoto wawe .....KAWAWA ili iweje!?
Mbona hamshangai yeye kuitwa HAMIS "ANDREA" Kigwangallah?!Vp mtu aitwe HAMIS na hapo hapo awe na jina la ANDREA?!
Hamjui kwamba siku hizi unaweza kuwa na ndugu ambaye baba/mama si mmoja au wakawa wamoja ila wengine wakatumia ubini wa ujombani?!
Hata hivyo,tuliwahi kuambiwa mbunge mwenyewe Mrundi hivyo si ajabu hawa ndugu zake ndiyo waliomhifadhi!
Tujaribu kupunguza ujinga tunapoikaribia 2015...Mnalo magamba!