The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Tubuni dhambi na kuishi vyema mbele za Mungu na wanadamu msiogope hizo mbao za kuhifadhia maiti.Hospital nyingi naona Huwa kwa pembeni Kuna majeneza wanasogea karibu na wateja na ukizigatia wateja ni kina nani!? Ni changamoto kweli
Kuna Moja nilisoma sehemu eti mfanyabiashara za majeneza alikuwa anapita ward za wagonjwa anachomoa dripu za wagonjwa Sasa sijui alikuwa ana maana Gani yule bwana 😆Tubuni dhambi na kuishi vyema mbele za Mungu na wanadamu msiogope hizo mbao za kuhifadhia maiti.
Kwakuwa watu wa tabora hawafi .Na mifano ipo yupo mwamba wa masasi 30 na akakwepa kifo.Hongera watu wa tabora a.ka nyuki.Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza hofu kwa wagonjwa na baadhi yao hupoteza maisha na wengine wanapata magonjwa ya akili.
Hata hivyo, wauzaji wa majeneza hayo wamekiri kuwa uuzwaji wa masanduku hayo katika maeneo ya wazi karibu na hospitali inaogofya wagonjwa na ndugu zao na kuunga mkono mpango huo wa Serikali.
Soma Pia: Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.
Chanzo: Radio One
Ni kweli watu wa Tabora wanaweza kukuhujumu hata kwa kukuroga au MAKAFARA ili wauze majeneza vizuriKwa jamii iliyostaarabika hii si biashara ya kufanyia hadharani au jirani na hospital. Wakati watu wanaingia hospital kupambania uhai wao. Wauzaji wao wanatamani/ikibidi wanaloga wagonjwa wafe wapate hela.
Hii siyo sawa. Yawekwe maeneo maalumu kwa biashara hiyo,tena isiwe open space.
Baltazar anapeleka Moto popoteIlitakiwa marufuku kuuza nje ya maeneo ya hospitali !