Nilikuwepo,chiderz si Joshua Nasari mbunge wa arumeru mashariki na Faraja yahaya.....
Tabora kumechange, kumeimprove sana ,nikilinganisha na miaka 5 niliyoondoka kumekuwa na mabadiliko makubwa hongera kwa wachaga u have changed tabora!
Kitu baraza, chezeya kipaji maalum....
Basi Bäba Paroko anahusika!kweli kipaji..mana Zinduna Talk show ulifanya roger...kama baraza basi tumeimba sana kwaya na wewe ha ha ha ha Fr.Crombie anahusika
da ciello anawapenda ninyi watu wa kusini!!!!!
Yah fr.crombie nimemiss kwel sijui yuko wapi sasa.....kumbe zinduna talk show nilitema nondo eeeeh?
Ha ha ha ha ha mnanikumbusha mbali sana...yani hapo sie Boys tukisikia Warsaw wanakuja!utaazima hata pafyumu a.k.a unyunyu ili West life ikipgwa Zero distance mtoto apate unyunyu..wewe ntakuwa nimewah kukukumbatia wewe
mpenzi charminglady nakuja mwanza soon mama, nimekumiss mpaka naniliu imeanza kukondaa
hahahahahaha uanze tuu
karibu sana huz... me nipo dar tangu jmoc narud kesho!
Tabora kumechange, kumeimprove sana ,nikilinganisha na miaka 5 niliyoondoka kumekuwa na mabadiliko makubwa hongera kwa wachaga u have changed tabora!