CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
unataka C6 aniue? Ctaki kunasana mimi. Nipishe
Hey charminglady what's going on here....!!
Masikini C6 ......
duh kumbe ulikuwa unadesh eeeeh???? jiamini kijanA kama vp c6 anapigwa chini hapa.... haa my hezbend c6 usisome hapa¿¿¿¡¡¡¡
Hapo kwenye kuoga nje ndo ilikuwa stail yangu hata saa 12 jioni nakumbuka siku moja mlinzi akatubamba,na disco vumbi nilikuwa neva mic lol those days, shosti Swts tulisoma wote nn ? Ww ulikuwa o level ama a level?
Mwenzangu!ukute tulishaoga wote nje. Me A-level pale,heheh unaukumbuka,"Tabora gelozi,shule yetu n nzuri tunaipenda,shule hii maalum kwa wanafunzi maalum,kielimu!shule kongwe..cjuw nin na nin.! Hapo unaimba Mr. KIDBOY(Rip),akikutamani lazima akuite after pared akuulize why sketi fupi,ukibisha unasaini 'BLEKI BUKU'....mweeh af kuna yule mama wa chapati yuulee!dah wapi student centre!wapi disco za boizia unakutana na Toto la kisukuma limepanda hewani,linakutokea kwa gia PCB, siku ya 18 unamfuma anapewa adhabu na form one wenzie..kumbe form one A! LOLEST
Mwenzangu!ukute tulishaoga wote nje. Me A-level pale,heheh unaukumbuka,"Tabora gelozi,shule yetu n nzuri tunaipenda,shule hii maalum kwa wanafunzi maalum,kielimu!shule kongwe..cjuw nin na nin.! Hapo unaimba Mr. KIDBOY(Rip),akikutamani lazima akuite after pared akuulize why sketi fupi,ukibisha unasaini 'BLEKI BUKU'....mweeh af kuna yule mama wa chapati yuulee!dah wapi student centre!wapi disco za boizia unakutana na Toto la kisukuma limepanda hewani,linakutokea kwa gia PCB, siku ya 18 unamfuma anapewa adhabu na form one wenzie..kumbe form one A! LOLEST
Ha ha ha ha ha mnanikumbusha mbali sana...yani hapo sie Boys tukisikia Warsaw wanakuja!utaazima hata pafyumu a.k.a unyunyu ili West life ikipgwa Zero distance mtoto apate unyunyu..wewe ntakuwa nimewah kukukumbatia wewe
Hahahahah Ngaliba Dume kwani we kijana wa kisukuma...? Kumbe nawe ulikuwa disco monger....
Ha ha ha ha hapana Miss Chit Chat...majamaa ya Kisukuma mi nayakumbuka..Boys mi nilisoma A-level..mi wa Kusini bana!!majamaa ya Kisukuma mi mwenyewe nlyakuta nikajua yapo form six,kumbe jitu lipo O'level
Hahahahah unawakana eeeeh halafu hizo lafudhi na swaga zao za kutongozea utachoka mwenyewe....tulikuwa kikiclass tunawateta, yani ful vicheko lol
Hahahah kama ni a levo huenda 2meoga sote nje, wimbo naukumbuka:ni shule kubwa mikondo 18,kidato kile cha 1 hadi cha 6,mchepuo wa ufundi na masomo mengineyo,sayanc nayo sanaa pia michezo,chorus:shule kongwe ilianza moja tisa ishirini na nane,ilikuwa ikiitwa african girls skul...hw can i 4get, disco vumbi nilikuwa sikosi ili nikutane na shem wako enzi hzo, blek buku nilisainishwa kutokana na kuchelewa kuripot skul...mambo ya warsaw yalikuwa balaa,ntakuPM shosti.......
Nicas Mtei, tedo, yani nyie mnadeshiwa na nyie mnaingilika? mke wa mtu Gundi, hamjajifunza yaliyotokea juzi jamani?
Tabora kumechange, kumeimprove sana ,nikilinganisha na miaka 5 niliyoondoka kumekuwa na mabadiliko makubwa hongera kwa wachaga u have changed tabora!
Ha ha haah dah hapo sie na Wimbo wetu wa "Tabora school kichwa cha Tanzania..jinalo weee kote linatajika,Viöngozi wafurahishwa nawe..hapa alisomeshwa Baba yetu wa Taifa,baba yetu wa Taifaaa..Tabora skul kichwa cha Tanzaniaaa"
Ha ha ha ha hapana!mi nilikuwa mtoto wa kusini...napamda treni mpaka Moro then naingia ndani ya Hood Bus!!disco nimecheza sana!cant wait to remember!nakumbuka at a time Milambo waliwavamia wakamwaga kinyesi had ktk vitanda...kweli wakati mtamu wa Tukutuku haurudi tena?jamani looh!sijawah kukaa na wewe pale mwembeni nje ya DH ya Boys kweli?ha ha haha
Wanaume wa milambo walikasirika tulipowaita mashoga wakaja ku2pa kichapo,boizia nilikuwa naja kwenye misa na disco 2, cku zingine nilikuwa napiga kitabu...