Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Nevertheless Tabora or as know as Mboka manyema are an Tz historical place bt the government has forgotten that nice town!.
There are no paved roads to Tabora , which means few outsiders ever visit .
Government ndiyo ya kulaumu coz has done little to help Tabora develop economically.
Zao kuu la uchumi likabaki kua trains magari moshi , ambayo now dayz hayapo tena .
Treni ya abiria ipo bt tabora ni miongon mwa mikoa mikongwe hapa nchi sema govt imeusahau so sad
Thanx mkuu,nilitaka kuja mchana kumsalimu headmaster wenu (bt sikupata chance),mr.Abdala alinifundisha GS form 5 and 6 Tabora girls pia alikuwa mwalimu wa transport so alinikatia tiketi za treni kipindi cha school holidays lol
Ha ha ha ha Abdala mwenye kisauti?Mwalimu wa G.S yule..akija kwetu anahakikisha kakata behewa moja Warsaw na Boys!basi we tutakuwa tumekutana sana Tukutuku na Joint Mass..Mama Kabigi yupo?na Shija je?Kajanja?ndo mana Ciello umestahili U-miss,we kipaji maalumu...loh u made my day!umenikumbusha mbaaali
Kuna investments kubwa za real estate zimefanyika tabora,nimepigwa butwaa,kuna mahotel mengi ya kifahari yamejengwa kama manchester,mwafrika,kuna lodges za ukwel,kumbi za starehe mpya ambazo sikuziacha tabora.tabora hotel hamna kitu imebak history.nimefanya karesearch kadogo wengi wa wawekezaji hao ni wachaga.kwel nimeamin alipo mchaga kuna maendeleo, lol

Mkuu siku hizi adha za tukutuku na kariakoo zimebaki stori tu.From mwaka juzi maji ni ya uhakika T.S
Ndiyo abdala kisauti kawa head wa boyzia,mama kabigi kashastaafu,walimu wengi wamekwenda kuwa wakuu wa shule kwenye shule za kata,joint mass nimehudhuria sana nilikuwa mwanakwaya,2ku2ku ndo usiseme those dayz lol
Kuna investments kubwa za real estate zimefanyika tabora,nimepigwa butwaa,kuna mahotel mengi ya kifahari yamejengwa kama manchester,mwafrika,kuna lodges za ukwel,kumbi za starehe mpya ambazo sikuziacha tabora.tabora hotel hamna kitu imebak history.nimefanya karesearch kadogo wengi wa wawekezaji hao ni wachaga.kwel nimeamin alipo mchaga kuna maendeleo, lol
Thanx mkuu,nilitaka kuja mchana kumsalimu headmaster wenu (bt sikupata chance),mr.Abdala alinifundisha GS form 5 and 6 Tabora girls pia alikuwa mwalimu wa transport so alinikatia tiketi za treni kipindi cha school holidays lol
jamaan umenkumbusha mbali.Mwl Abdala cjuw yupo wapi. Gs nmekumbuka kuna mwembe rhoda, tukutuku,lol! Purukushani ya kuchaj simu! Dah kuoga nje mweh!
Wkend discusions na boizia! Madisco ya geloz na boizi,patam apo.
Cku hizi hotel kibao, ,wachaga wamepatakatisha kwel Tabora. Kwan wazawa zao vibarazan, Kujichubua uso,miguu coca na ushirikina(sio wote,msinimeze!)