Tabora kama loliondo

Tabora kama loliondo

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
160
Amin Usiamin.
Tiba inayopatikana LOLIONDO,PIA IMEANZA KUOLEWA HUKU TABORA tena hapa hapa mjini.,Mtoaj wa kikombe huku tunamwita BIBI.Hivyo Tunaita KIKOMBE CHA BIBI.WATU NI WENGI MAMIA KWA MAMIA WANAELEKEA KWA BIBI WAKAZI WA HUKU TTNAENDA KWA MIGUU NI KARIBU NA KATIKATI YA MJI
 
Kaoteshwa na nani? Tumweke kwenye mizani, Isaya 8:20, na wawaenende kwa ushuhuda na kwa sheria, wakienenda kinyume na haya ujue kwao hakuna asaubuhi.
 
Kaoteshwa na nani? Tumweke kwenye mizani, Isaya 8:20, na wawaenende kwa ushuhuda na kwa sheria, wakienenda kinyume na haya ujue kwao hakuna asaubuhi.

bado sijaelewa kaoteshwa na nan.ila ni muumin wa dheheb fulan la kikristu,WATU NI WENGI SANA.
 
Isha kuwa biashara, duh, mala Loliondo, mala Mbeya sasa Tabora, tusubiri Sumbawanga nad kule kwa Wagosi
 
Back
Top Bottom