Alafu hyo aliereply kuwa kama n TOP 10 basi utoe Tabora girl kilakala na kisimiri NATAKA NMFAAMISHE kama alikuwa ajui kuwa KISIMIRI ilikuw ya 3 ktaifa mwaka jana pia mwaka huu imekuwa ya 4 kitaifa so kaa ukijua kuwa hii ni shule ya gvt inayokuja juu saana na ata intake wake hawachukui tena Div 3
Kipaji maalum ukimaanisha nin?? .kuimba...kucheza ngoma..kukimbia riadha...mpira au unamaanisha nini?? Unaposema kipaji maalum!!
Usijali Mkuu, hayo ni mapito!! We will bounce back, Tabora boys ni shule iliyo katika mpango mbovu wa serikali pamoja na mkoa ilipo. Nakumbuka nilipokuwa katika shule hiyo, nilisoma topic 2 za Physics kwa miaka 2 yaani Mechanics na Heat basi, topics zingine akili kichwani. Sasa hivi ukijumlisha na hili janga kuu aka CCM isiyokuwa na mikakati mizuri kwenye sekta ya elimu, basi ni bora liende.
Lakini mi naimani hizo shule unazosema lazima kuna vitu vya ziada vinavyofanyika kama kuviwezesha tofauti na hawa vijana wa Tabora Boys ambao wengi wao ni wale vipaji maalumu kweli toka vijijini huko. I survived there anyway and proud to have my 2 years experience at that school.
Vyema ukaulize Wizara ya Elimu,maana tumejadili sana hapa jamvini juu ya matumizi ya neno Vipaji,sasa akina nyie ambao hamjapita katika hizi shule huwa mnakuja na ushuzi wa Kupest mambo,kwanza waache wenyewe wanyukane kama huna la kuchangia hapo.
Kumbuka haujaitwa huko ulipokuwa ukifanya shughuli zako.za mchundo!
Vipi kijana mbona povu jingi!! Swali limekusa nini!? Au kuuliza ni ujinga??
umenena vyema mkuu na kwa serikali makini nadhani tabora ndo ilibidi iwe ya kwanza kupewa special care and treatment since baba wa taifa alisoma pale but badhani sababu za kijiographia au uzembe wa baadhi ya watu katika wizara ndo umefanya shule ile ifike pale ilipo me naweza nikaita ICU....afu wanasema big results now!!! how can you achieve that without first investing in the academic giants of tanzania me naona serikali inapata bichwa bure kwa upande wa a level at the expense of hardwork,toiling and sweats of students,,,Usijali Mkuu, hayo ni mapito!! We will bounce back, Tabora boys ni shule iliyo katika mpango mbovu wa serikali pamoja na mkoa ilipo. Nakumbuka nilipokuwa katika shule hiyo, nilisoma topic 2 za Physics kwa miaka 2 yaani Mechanics na Heat basi, topics zingine akili kichwani. Sasa hivi ukijumlisha na hili janga kuu aka CCM isiyokuwa na mikakati mizuri kwenye sekta ya elimu, basi ni bora liende.
Lakini mi naimani hizo shule unazosema lazima kuna vitu vya ziada vinavyofanyika kama kuviwezesha tofauti na hawa vijana wa Tabora Boys ambao wengi wao ni wale vipaji maalumu kweli toka vijijini huko. I survived there anyway and proud to have my 2 years experience at that school.
Kipaji maalum ukimaanisha nin?? .kuimba...kucheza ngoma..kukimbia riadha...mpira au unamaanisha nini?? Unaposema kipaji maalum!!
Alafu hyo aliereply kuwa kama n TOP 10 basi utoe Tabora girl kilakala na kisimiri NATAKA NMFAAMISHE kama alikuwa ajui kuwa KISIMIRI ilikuw ya 3 ktaifa mwaka jana pia mwaka huu imekuwa ya 4 kitaifa so kaa ukijua kuwa hii ni shule ya gvt inayokuja juu saana na ata intake wake hawachukui tena Div 3
UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE KAMA UMESOMEA MISHULE YA WALIOFELI FORMSIX KAAPEMBENI KILAZA WEWE,, SHULE VIPAJIMAALUMU NI TABORABoys,kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki kalalwe