figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,251
Ajari mbaya imetokea Tabora. Abilia kampunI ya adventure kutoka Mwanza kwenda Mpanda, imeanguka mbele ya kijiji cha Ipole Wilayani Sikonge mkoani Tabora na kwa taarifa ni amefariki mtoto mmoja na wengine wengi wamejeruhiwa. Basi limepata ajali saa kumi jioni* amethibitisha kamanda wa polisi wa mkoa huo
Tunaomba wakati tukizidi kufuatilia taarifa zaidi, wale wenye ndugu zao waliosafiri na adventure tokea mwanza kuelekea mpanda tunawaomba mfanye mawasiliano na ndugu zenu ili kufahamu hali zao.
Report from WATIL Sikonge