Prof Juma Kapuya huyo mzee mchawi ogopa
kazi ngumu mpe mnyamwezi wamezoa hao any way prof lipumba ,sita ,kapuya mmmmmhhawa vip michango yaoo?
Chuki za kidini wapi wewe mkuu? Mtu akisema ukweli eti anapandikiza chuki za kidini. Tabora bado itachukua miongo kadhaa kubadirika; uswahili, uvivu, mwamko wa elimu mdogo, majungu na kukumbatia magamba! Miaka 50 ya uhuru, wilaya zote za Tbr (Nzega, Urambo, Sikonge, Uyui na Igunga) kuunganisha na makao makuu ya mkoa (Tabora) ni vumbi tupu! Badirikeni Wanyamwezi.
acha kudharau makabila ya wenzako we pusi, inakusaidia nini ukiandika hivyo? we jamaa post zako zote utafikiri ameandika mtoto wa darasa la saba. huna akili kabisa za kufikiri impact yake kwa msomaji especially yule mwema na anayetoka kwenye jamii uliyoidharau..Sio kosa lao, ni mwarabu amewaharibu. Hao ndio wazaramo wa bara, majungu na bao ndio zao. Na CCM bwana wakishajua kuna mavuno sehemu watahakikisha hilo shamba haliharibiki (hawapati elimu)
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.
CCM umenilelea mama yangu kamwe sitakuacha hata kwa manunuzi ya kifo
Huwezi kuwa mnyamwezi wewe kwa kauli kama hizi basi unaweza mpiga ata baba yako ngumi...unaanzaje sema wanyamwezi ni wajinga wakati baba na mama yako pia mmoja wao ni mnyamwezi....Punguzeni jazba siasa sio vita na jifunzeni kutunga uhongo.Hutamwitaje mzazi wako ni mjinga?Nakubaliana sana na mchangiaji aliyetoa sifa kadhaa za wanyamwezi, mimi pia ni mmoja wa wanyamwezi hao ila niseme tuu wazi kwamba ukweli wanyamwezi tuu wapole sana, ila kwa mtazamo wangu upole huu umetutengenezea hali ya uoga na ujinga kabisa. Nimepita maeneo kadhaa ya mkoa huu kujionea hali ya mambo na uhalisia ni kwamba "RAITI KAMA WANAYOFANYIWA WANA TABORA YANGETOKEA SEHEMU KAMA MBEYA, ARUSHA NA HATA MOSHI NAFIKIRI INGETOKEA HATA VITA". Mapori yote yamepewa wageni wa kiarabu, mathalani poli la hifadhi ya Ugalla iliyopitia maeneo ya Urambo, Sikonge mpaka Mpanda amepewa mwarabu ambaye ni zaidi ya binadamu katili. Mama zetu kila siku wanakamatwa na kupewa adhabu kama watumwa kisa kukutwa wakikusanya kuni porini, wengine mpaka kuuwawa. Wakulima wa tumbaku wananyanyaswa bila kuangalia kazi ngumu wanazopitia, Wavuvi na wachanaji mbao kila kukicha wanauwawa kikatili na walinzi wa mapori ya waarabu n.k. Ila naendelea kuwaahidi wana jamvi, 2015 sisi kama vijana wa mkoa huu, tutasimama ipasavyo, Viva to CDM
Tabora maendeleo duni, barabara mbovu, maji mtihani, elimu imekufa, nyie wanyamwezi nani amewaroga? Yani CCM imewaroga kabisa. Ebu upeni heshima mkoa wa Tabora mbele ya watanzania wenzenu. Yani CCM wamewasusa kimaendeleo nyie mnajipendekeza, Shame on you Nyamwezi people.
Naomba jibu tabora to mbeya kuna lami?
ni vumbi mwanzo mpaka mwishoNaomba jibu tabora to mbeya kuna lami?