Khaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi
Khaa!! Tujifunze nini sasa?? Kwani nae katanganza nia tena?:glasses-nerdy:Halafu Kama Kawaida Yake Jamaa Huwa Akinusa Tu Kuna Matatizo Nchini Kwake ANASEPA Zake Na Sasa Wananchi Wanaumi Yeye Anakula Bata New York Na Atakuwa Huko Kwa Siku Takriban 4 Net. Kweli Watanzania TULIBUGI 2005 - 2015 Tujifunzeni!!!!!!!
Subiri.... malori nayo yanagoma, utakula kucha mwaka huuKhaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi
Khaa!! Hili litakuwa jambo la heri sana kwa reli zetu :glasses-nerdy:Subiri.... malori nayo yanagoma, utakula kucha mwaka huu
Pesa ...Khaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi
Ebo kwa mtandao upi wa reli?Khaa!! Hili litakuwa jambo la heri sana kwa reli zetu :glasses-nerdy:
Khaa!! Tujifunze nini sasa?? Kwani nae katanganza nia tena?:glasses-nerdy:
Khaa!! Hili sijawahi kusikia. Ila aliwahi kusema wazi kabisa kwamba anatamani siku ziishe akapumzike :glasses-nerdy:Rohombaya;
Huna habari kuwa anatamani huu uchaguzi atii usifanyike ili ajiongezeye vijisiku kidogo ka siku 365 x 2 hivi?? Hana haja ya kutangaza nia bali kujiongezeya kidwogo tu. Tu miaka tuwiliiii
Ebo kwa mtandao upi wa reli?
Khaa!! Sasa hizo zinapatikana kwa kugoma au kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa? Mijitu mingine bana bure kabisa:glasses-nerdy:Pesa ...
Khaa!! Hili sijawahi kusikia. Ila aliwahi kusema wazi kabisa kwamba anatamani siku ziishe akapumzike :glasses-nerdy:
Khaa!! Hivi wanagombea nini? Mie hata sielewi
Khaa!! Maslahi?? Basi wana wazimu hawa. Kwani wameajiriwa na serikali? Kama wanataka maslahi mazuri kwanini wasiende kugombea ubunge bana?:glasses-nerdy:maslahi