Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,271
- 2,151
Acha sanaa, huduma ya reli ni kama 2% ya mahitai mazima ya usafirishaji. Jiulize ulichokula leo kimeletwa na treni? Waliokileta wakigoma, utakula kucha?Kwa utafiti mdogo 80% ya mizigo inayotoka Dar huwa inapita kwenda nchi jirani Malawi, Zambia, Zimbabwe, Congo (RDC), Burundi na Rwanda. Rejea ramani na mitandao ya reli utapata jibu