walichodanganya kwenye hio tablet
1. processor yake ni cortex a7 dual core 1.2ghz na sio cortex a9
2. resolution ya kioo ni qhd yaani 960x540
ambacho sijakipenda
1. ram ya 512mb
nilichokipenda
1. uwezo wa 3g
2. finishing ya alluminium
ambacho sjaelewa
kusema ni wcdma tu sijaona sehemu wameandika ina hspa. ina maana 3g yake haitapita 50KBps
kwa dola 70 sio mbaya ila hio ram itakuja kusumbua mbeleni itakua na perfomance mbaya