senzoside Senior Member Joined Mar 13, 2012 Posts 182 Reaction score 31 Feb 14, 2016 #1 Habari za wakati huu ningependa kuuliza Tablet nzuri ni zipi nimeomba ushauri huu kwasababu niliwa nataka ninunue
Habari za wakati huu ningependa kuuliza Tablet nzuri ni zipi nimeomba ushauri huu kwasababu niliwa nataka ninunue
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Feb 14, 2016 #2 ukitaka kununua kitu na kuomba ushauri kwa mtu kuna vitu muhimu inabidi useme 1. kiasi cha fedha ulichonacho 2. hio tablet unaenda kuitumia kwa kazi gani 3. unapenda operating system ipi
ukitaka kununua kitu na kuomba ushauri kwa mtu kuna vitu muhimu inabidi useme 1. kiasi cha fedha ulichonacho 2. hio tablet unaenda kuitumia kwa kazi gani 3. unapenda operating system ipi
senzoside Senior Member Joined Mar 13, 2012 Posts 182 Reaction score 31 Feb 14, 2016 Thread starter #3 Matumizi tu ya kawaida Kusomea! Kutafutia materials kwenye internet kwa kiasi chochote kile cha fedha mm nlikuwa nahitaji ambayo ni nzuri
Matumizi tu ya kawaida Kusomea! Kutafutia materials kwenye internet kwa kiasi chochote kile cha fedha mm nlikuwa nahitaji ambayo ni nzuri
desmond JJ Member Joined Jul 6, 2012 Posts 56 Reaction score 28 Feb 14, 2016 #4 Binafsi naona M 78 ya twiga hosting company (thl),a simple device na inafaa sana kusomea na hata kufundishia Additional information kuhusu hiyo ina notes karibu zote za sekondari 1 to 6 Version ni KitKat 4.2...ukiwa interested ni pm
Binafsi naona M 78 ya twiga hosting company (thl),a simple device na inafaa sana kusomea na hata kufundishia Additional information kuhusu hiyo ina notes karibu zote za sekondari 1 to 6 Version ni KitKat 4.2...ukiwa interested ni pm
senzoside Senior Member Joined Mar 13, 2012 Posts 182 Reaction score 31 Feb 14, 2016 Thread starter #5 Naomba mtiririke kuhusu hizo tablet
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,830 Feb 14, 2016 #6 Chief-Mkwawa rudi