Haha, chumvi inanogesha chakula, lakini ni kheri uionje. Mimi nilishaweka principal ya kuridhika na chumvi ya mpishi.Hiyo ya chumvi mie kila siku na fail. Napenda sana chumvi so chakula kama sijapika mwenyewe I'll assume right away kuwa kina chumvi kidogo and I'll go straight for the salt first and foremost every time I sit down to eat.
Halafu hiyo red wine hapo juu inatamanisha. 😛
It's more for your future reference, with the advance of technology, the world is now just like a small village, you don't expect to be eating rice in Uswahilini only.
Eenh Asante Sana... Nitakufanyia surprises kufika... ila chumvi mie napenda iliyoivia kwenye supu au mboga si ya kuongeza...Asante sana kwa hii picha, basi ukija kwangu nitakuandalia hivyo.
Ni picha nzuri sana kwa kweli, hapo kwenye chumvi naona tutashindana, kwa jinsi ya uelewa wangu wa moyo, figo na electrolites zinavyofanya kazi, chumvi yangu ni ndogo sana. Kopo la chumvi linakaa mpaka ninasahu bei.Eenh Asante Sana... Nitakufanyia surprises kufika... ila chumvi mie napenda iliyoivia kwenye supu au mboga si ya kuongeza...
Hiyo Picha iongezee juu hapo kwenye thread yako
Depends with the people you are dining with.
Hahaha, niliwahi kuona wanafanya maandalizi ya Christmas dinner, hizo glass, cutleries zilikuwa zinasuguliwaje.Umenikumbusha state dinners, mfano the queen of England kama ana wageni akimaliza kula na wageni nao wamalize? If she stop everybody has to stop?!, kama una njaa sana inakula kwako..lol
Hahaha, niliwahi kuona wanafanya maandalizi ya Christmas dinner, hizo glass, cutleries zilikuwa zinasuguliwaje.
Inategemea na waandaji lakini ni rahisi kuandaa kwa kutumia vipande vya kifuani vya kuku (chickn breast).Kuna muda mie umma na kisu naona vinanizingua tu natamani kumla kuku kwa mkono nimtafune mifupa yooote sasa with kisu na umma aaah naona namdokoa dokoa tu sifaidi kabisa
Uma na kisu hapo ni mfano nakula nini ugali mrenda au wali maharage au kiugali changu na kasamaki kakavu.Hapo kwenye umma na kisu ndipo patamu!!!
Haya madini wanawake wengi mjini hawayajui, kwanza kupika tu ni mziki sasa unatarajia haya atayajua??
Heshima yako mwenye IQ kubwa.
Unaelewa ni kiasi gani cha information ubongo unaweza kuhold?
Ni yote uliyofundishwa shule una yaaply katika maisha yako yote ya kila siku?
Ulituletea utaratibu wa kula wa Watanzania 98% na sisi kukataa kuusoma?