Aaahh kwani matumizi ya pesa ni yepi? ..Muacheni kijana ale jasho lake..maisha yenyewe mafupi...
Washabiki wa Man U mnatamani Ronaldo akienda Madrid asifunge goli hata 1.
Kijana yuko mapumzikoni, mda wote ligi ilikuwa imembana ni vzr akajiachia.
Mtu alipwe pund 500,000 kwa mwaka....then aache kujirusha? Why.....I agree na we mkuu....wacha kijana ale raha duniani bana!
..." 'mke' ushamuacha bado unamfuata fuata, wamtakia 'ni?" ...washabiki wa Man U bana, mwacheni dogo azifwaudu pesa zake, keshajenga jina huyo!
he he he..mambo ya mitungi, pamba na mikasi..kijana aangalie kuna kitu kinaitwa herpes..ni soo.
MTM said:Mkuu, mitungi ya wapi? hebu watuonyeshe na picha za yule seremala kichaa rooney na bibi yake mlevi wa kuzimika baa!!