Tabia zinazochangia michepuko, ladies,don't try this at home

Tabia zinazochangia michepuko, ladies,don't try this at home

Hahahaha utamua mwenzio kwa presha ukute huo ndo ukweli atajibebaaa lol....

Nimekum kule kwa mkesha lol

Hahahah kusema kweli mademu wako tofauti na ndo mana vijana wa siku hz tunafanya rehersal kwanza... Hivyo hadi kufikia ndoa maana yake umeridhika na huyo mwanamke kati ya wote uliotembea nao huyo umemuona nafaa kuitwa mke.. Sasa sidhan kama mtu anaweza anza tabia ya kubana miguu kwenye ndoa kama before hakuwa na hyo tabia
 
He he he, kumbuka mapenzini 'diminishing marginal utility' inahusika. Huwezi ukafanya hayo siku 365.
Hahahahaaaa! NAONA DIMINISHING MARGINAL UTILITY KWAKO INAKUWA CONSTANT! Maana ishaitwa DIMINISHING manake PIE WILL ALWAYS BE PIE! Hahahaaa! Kanisambazeeeeee! SHERIA NI MSUMENO IT CUTS BOTH SIDES! Kutesa kwa zamu atiiiii!
 
Hahahahaaaa! NAONA DIMINISHING MARGINAL UTILITY KWAKO INAKUWA CONSTANT! Maana ishaitwa DIMINISHING manake PIE WILL ALWAYS BE PIE! Hahahaaa! Kanisambazeeeeee! SHERIA NI MSwUMENO IT CUTS BOTH SIDES! Kutesa kwa zamu atiiiii!
lara 1 unatisha vibayaaa! Unasema ukweli watu lazima waukubali if at all they mean it in a relationship, yes we can,play your part!
 
Last edited by a moderator:
DOES IT MATTER? Ni sawa na kuuliza kuku na yai nani alitangulia! Kijana wa kiume ni future mume atiii!
Napita tu wajameni! Sio mada yangu!

Utofauti huja kwenye mawazo, fikra na namna ya kuzieleza fikra na mawazo hayo...na wala haina uhusiano wa habari za yai na kuku
 
Aaaaahhhhh! Kumbe na wanawake wanapiga punyeto, for males wanatumia sabuni,wanawake je? Can you explain a little the details,pengine huwa analipiga ili na mimi nianzie anapoanziaga
njoo chumba cha wakubwa utajifunza yote hayo..
 
Mi huwaga sipotezi muda,
Ukinibania usiku huohuo nafungua mlango naondoka zangu,asubuhi tutajadili kwanini niliondoka.
 
Huyo naye kazidi bana, anabana kila kona. Basi mwambie achongeshe kitanda chake au unamuendeaga pupa nini anaumia sana (no more enjoyment ni full pain kama anakwanguliwa na chui).

muulize taratibu nini tatizo
 
Mi huwaga sipotezi muda,
Ukinibania usiku huohuo nafungua mlango naondoka zangu,asubuhi tutajadili kwanini niliondoka.

napenda sana mwanaume akisusa kama wewe maana kuondoka kwako kunanipunguzia headache, maana anakupa nafasi yako kwa kitanda vile vi-ushuzi na kukoroma vinakuwa hakuna unalala kwa amani mweh!
ukirudi asubuhi wala hakuna mjadala wa kujadili. utakutana na mimi mlangoni naelekea kwa job. na wala sitakuuliza...
 

Attachments

  • 1407857243929.jpg
    1407857243929.jpg
    55.3 KB · Views: 160
Unalala na manguo kitandani,yaani unampa mtu kazi ya kuyavua mpaka mengine inafikia yanachanika,ukitaka kushika nyonyo angalau uweke mazingira anazuia kwa mikono yote,ukimpapasa mapaja, mkono unaondolewa,ukitaka kumtomasa ikulu ndio hapo.

kama umepanga mwenye nyumba anaweza kuhisi mnadundana kwa jinsi mnavyokurupushana,haya sasa,shughuli yenyewe amebana miguu kama kapigwa shoti ya umeme.

Matokeo mnaanza mechi kiubabe,papuchi kavu,mood yote imeharibika, unaishia kugonga moja tu, the trend repeats itself baadae the marriage becomes a boring insitutition, mtu akichepuka one day anakuta mtoto yuko free, ushirikiano mwingi, mtu anahamia airtel!!

No changes,mchepuko 4EVER

Hizi sio sababu
 
napenda sana mwanaume akisusa kama wewe maana kuondoka kwako kunanipunguzia headache, maana anakupa nafasi yako kwa kitanda vile vi-ushuzi na kukoroma vinakuwa hakuna unalala kwa amani mweh!
ukirudi asubuhi wala hakuna mjadala wa kujadili. utakutana na mimi mlangoni naelekea kwa job. na wala sitakuuliza...
Ningekupata kama wewe ningefurai sana,maana ningekuwa sina presha kabisa ukipotezea na mimi napotezea.
 
Back
Top Bottom