Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
Hizi ni tofauti za mitazamo za wanawake katika mahusiano kutokana na umri!15-20 Hawa wanapenda kujua utam wa mapenzi na aina tofauti tofauti za wapenzi,hawatulia,wanapenda masharobaro na wanashobokea macelebrate.21-26 Hawa wanapenda kujirusha,kutumia vilevi,hawamtaki mpenzi wa umri uteenage hapa hubadili mpenzi,wanapenda wapenzi wa chuo,wajuaji,wanapenda matanuzi na vitu vya gharama,wanajiona wanajua kila kitu.27-38 Hawa wametulia wanataka kuwa na familia,wasikivu,wanajiheshimu,hufikiri jambo kwa umakini,wanahitaji kuolewa na wanapenda kuzaa,ila kama hakufanya mambo ya ujana ,huyu kwenye umri huu huwa hafai kwani hujiona mdogo wa miaka 23,hao huitwa malimbukeni huyu hafai!39-45 Hawa wamekata tamaa ya kuolewa,wanajijali,wanataka kuzaa ila wengi hawapendi kuolewa,ni wachapa kazi,wanajihisi kupitwa na wakati,ni wazuri wanapoamua kuwa na familia.Wako yuko kwenye kundi gani?