Kitu hiyo haina Kabila. Ni makuzi, Gene za mhusika na Maumbile yake basi. Fuatilia tabia za huyo binti ukiridhika naye ndipo uulizie suala la Mila kwa maana ya kujua taratibu za kabila husika katika masuala ya kuchumbia hadi kuoa yanakwendaje. ya kabila hayana formula.