Mzee Dogo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 392
- 250
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.