Tabia za watu wasiofanikiwa

Mi naona kuanzia no 1 hadi ya mwisho ni ukweli mtupu
 
Sa
5 Grudges chuki(chuki binafsi), 6 Blame Lawama(hata kosa liwe lako lakini utalaumu wengine) 8 Critique Kukosoa zaidi ya Create kujenga.(mtu baada ya kukupa ushauri ataanza kukufuja na kutunga mambo yasio na maana)
Safi sana unajua unachoandika we jf wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…