AkA hujaelewa nn? Rudia tena kupitia heading utaelewa tu.Ndo nini sasa
real G kasahau kutafsiri hiyo chat hapo juu.AkA hujaelewa nn? Rudia tena kupitia heading utaelewa tu.
Wengi sio wote mkuu, ilikua ni wasiwasi wangu tu nothing serious.naamini angalau 80% ya jf members wanaelewa basic English
Namba 5,6,8 ndio husababisha hio mipashohiyo sio mipasho
5 Grudges chuki(chuki binafsi), 6 Blame Lawama(hata kosa liwe lako lakini utalaumu wengine) 8 Critique Kukosoa zaidi ya Create kujenga.(mtu baada ya kukupa ushauri ataanza kukufuja na kutunga mambo yasio na maana)kivp?
Safi sana unajua unachoandika we jf wa ukweli5 Grudges chuki(chuki binafsi), 6 Blame Lawama(hata kosa liwe lako lakini utalaumu wengine) 8 Critique Kukosoa zaidi ya Create kujenga.(mtu baada ya kukupa ushauri ataanza kukufuja na kutunga mambo yasio na maana)
Mshale mwekundu kama shoti ya umeme unamchoma jamaa anayetambaaNdo nini sasa
Kichawi hapo unatafsir vip?Mshale mwekundu kama shoti ya umeme unamchoma jamaa anayetambaa
hii haina tafsiriKichawi hapo unatafsir vip?