kuna jamaa alishawahi kuomba ushauri juu ya kabila hilo hilo, ni vema ukatafuta kwanza hapahapa, ndo maana watu wanaona uvivu kuchangia vitu ambavyo walishavichangia
Aisee umelamba jike kwakweli! Mi mke wangu ni mndamba tena wa melela ifakara ingawa ni mtoto wa hapa mjini. Kwanza ni wakarimu sana, wanajiheshimu, wanajua kupika, wachapakazi, hawaugui hovyo, wanajua mambo ya 6x6 balaa, wanajua kutunza watoto na huwa wanapenda kuzaa watoto wengi mno.Habari za Leo wanajamii. naitwa Philip wa Dsm nimekutana siku za karibuni na binti mmoja ambae nimetokea kumpenda na ninamalengo Mungu akitujalia awe mke wa ndoa. sasa naomba ushauri kama kuna mtu yeyote anafahamu kuhusu wanawake wa kabila la Kindamba kutoka Morogoro naombeni ushauri nampenda sana na kwa kumuangalia ni binti anaejiheshimu sijajua tu undani wake Asanteni
Sasa kama hakuwepo we vp bana kama huna kaa kimya.kuna jamaa alishawahi kuomba ushauri juu ya kabila hilo hilo, ni vema ukatafuta kwanza hapahapa, ndo maana watu wanaona uvivu kuchangia vitu ambavyo walishavichangia