Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.
Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.
Inategemeana hasa na malezi yake na mahusiano na wengine yaani jinsi anavyojichanganya na watu. Ingekuwa wote wako hivyo basi ma-Prof na ma-dr vyuoni wasingekuwa wameolewa vinginevyo fanya tafiti utuletee wasomi walioshindikana kuolewa na wanaoishi kwenye ndoa kwa amani kabisa
Pia kwa wanawake wenye hela inadepend chanzo cha mafanikio yake ni kipi!! usitegemee alihongwa then aje akuhonge na wewe lazima awe na nyodo nazo maana yeye ndiye anajua mhongaji alikuwa anatoa kichapo cha namna gani
''mavumba ya baba Fere,Temeke huita michele...''joh makini
Hyo ni kweli kabisa ndio maana hawaolewi wanaishia kugegedwana kuishia kuzalishwa bila kuolewa
lakin wakat mwingne ni woga wa wanaume tu