Tabia za wanawake wakipata hela

Hahaha nimekuelewa swaiba.

Sent from my Solar mini using JamiiForums mobile app
 
Duuuuuuuhh,vjanw noma sana!
 
Mwanamke akiwa juu ya Mwanaume kwa kipato.. Unawezasema nchi hii T.R.A Hawapo.

>>Kwanza kuingia nyumbani hapangiwi.
>>Pili Safari haziishi kabisa km Waziri.
>>Ole awe na gari ndio utawaona makenika wote ni rafiki zake.
>>Unyumba kuupata..hadi kesi kwa Paroko.

Yote kwa yote Wanawake ni MALIMBUKENI wakipata Ela.

Anaweza kuuliza bei ya kununua mtaa
 
Kamwe, usifanye kazi ya kujaribu kumuelewa mwanamke, utavurugukiwa zaidi. Inatosha pale biblia iliposema "........ishini nao kwa akili maana ni vyombo vidhaifu". Full stop.
Kwa hiyo akichepuka sawa tu?
 
Nawashauri wanaume wenzangu hawa mabinti wenye pesa au kutuzidi vipato sio wa kuwa na mahusiano nao utajuta aisee atakufanyia kila aina ya vituko na ujeuri
 
hivi kuku na mayai ni vyakula vya anasa?
 
Hahaaa, mkuu nawe wadumisha mila za kwetu kusini cyo.
Ni kweli lkn cyo kila mwanamke anaonesha hizo tabia. Ila labda asilimia kubwa ya wahusika
Hahaha
Ni wachache saaana mkuu
 
Kweli kabisa hivi haya mawigi yenu na joto la dar mnavumiliaje [emoji6][emoji6][emoji6]
I HATE MAWIGI NAPENDA NATURAL HAIR...IWE SHORT LONG WASTANI BILA DAWA NA DAWA I LIKE ORIGINAL ...KUVAA MAWIGI TENA YANAONESHA KABISA NAONA HAKUNA SEXY ENVIROMENT
 
Yap kuna mmoja huyo akajifanya eti kiswahili ajui, mara ho mare he.. you know, this and that... eti nikumuandikia sms ya kiswahili awezi kusoma.
Siku moja niko kwao, nikashika simu yake, mama weee anaongea mpaka kilughea, kinyamwezi kabisa..

Ilibidi nimuite pemben nimwambie hiki ni kitu gani... oh baby unajua sipendi kutumia kiswahili.. nikamwambia kuanzia leo mashauz uache kabisaa... nikikuongelesha kiswahili unijibu tena kwa ufasaha na adab.. ole wako uzingue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…