usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
- Thread starter
- #81
Huwa namtumia nauli elfu 20 au 15 lkn sehemu anakotoka ni elfu moja Kwa bodaboda si ale hukohuko mm ni msela. Yaani hakuna siku aliyokuja bila kusema hajala hata ikiwa saa 12 jioni na hela umemtumia ya ziada, ananikwaza aaagh!!!!Sijakuelewa mtoa uzi, je, ukisha mnunulia chakula huwa anakudai chakula tena? Je anakula kupita kiwango cha binadamu wa kawaida? Je, suala lá kula ndo tatizo tu? Jiangalie sana ndugu unaweza usiwe mwanaume wa kawaida km unasumbuliwa na masuala madogo km kula wakati ni wajibu wako
